Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, amemteua
binti yake ambaye ndiye mwanamke tajiri zaidi barani
Afrika kuwa mkuu wa shirika la mafuta la kitaifa la
Sonagol.
RC MALIMA ATAKA WANANCHI KUPIMA AFYA WAKATI WA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA
-
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amewataka wananchi wa
Mkoa huo kujitokeza kwa wingi kushiriki kupima Afya zao wakati wa Kambi
Maalum ya...
2 hours ago