Recent Posts

PropellerAds

Sunday, June 12, 2016

Wakamatwa kwa kuwaingiza wanawake kwenye ukahaba


Polisi nchini Uhispania wametoa taarifa kuhusu oparesheni ya kimataifa, dhidi ya mtandao unaohusu kuwasafirisha wanawake kiharamu kwenda kufanya ukahaba ambapo watu 14 walikamatwa na wanawake saba kuokolewa.
Wanawake hao walikuwa ni kutoka nchini Paraguay. Watu wengi walikamatwa katika mji ulio kusini mwa Uhispania wa Pamplona.
Polisi walisema kuwa viongozi wa mtandao huo nchini Paraguay, walikuwa wamewaahidi wanawake hao ajira barani Ulaya, lakini badala yake wakawalazimisha kufanya ukahaba ili kulipa gharama yao ya usafiri.

Related Posts:

  • Mpango wa Marekani kupeleka watu Mars Sayari ya Mars imekuwa ikiwashangaza, kuwasisimua na kuwavutia binadamu kwa miaka mingi. Maelfu ya miaka iliyopita, binadamu walikuwa wakishangaa na kujiuliza nini kinapatikana katika sayari hiyo inayopatikana umbali wa k… Read More
  • Morocco yarudi katika Umoja wa Afrika AU Viongozi wa umoja wa Afrika wameamua kuirudisha Morocco katika shirika la Umoja wa Afrika AU zaidi ya miongo mitatu baada ya taifa hilo la ufalme wa Afrika Kaskazini kujiondoa katika AU kufuatia mgogoro wa eneo la Sahar… Read More
  • Tofauti kati ya ukuta wa Trump na kuta zingine maarufu zilizojengwa Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuendelea na mipango yake ya kujenga ukuta wa urefu wa kilomita 3000 kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico. Ukuta huo utakuwa na urefu wa kati ya mita 9 na 16 na utajengwa kwa kutumi… Read More
  • Donald Trump amfuta kazi mwanasheria mkuu Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates saa chache tu baada ya kuwaagiza mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotetea uamuzi wa kuwawekea vikwazo raia wanaotoka katika baadhi y… Read More
  • Mualiko wa Trump wamueka malkia katika hali ngumu Uamuzi wa waziri mkuu wa Uingereza Bi Theressa May wa kumualika rais Donald Trump wa Marekani umemuweka malkia katika hali ngumu, kulingana kiongozi wa zamani wa afisi ya maswala ya kigeni nchini humo. Katika barua alioa… Read More