Recent Posts

PropellerAds

Thursday, June 23, 2016

Wanajeshi wa Sudan Kusini waiba chakula

Wanajeshi wa Sudan Kusini waliokuwa wenye njaa wameiba chakula kutoka kwa mfanyibaishara mmoja katika moja ya masoko makuu kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
Wakati mfanyibiashara huyo katika soko la Konyo Konyo aliwataka wanajeshi hao walipie chakula hicho, walimjibu na kumuambia aende kwa Rais Salva Kiir kudai pesa zake kwa sababu hawajalipwa mishara kwa miezi kadha.
Wafanyibiashara wengine walifunga maduka yao ili wanajeshi hao wasije nao wakawaibie

Related Posts:

  • How to Grow Strong in Your FaithIn Romans 4, Paul tells us Abraham “grew strong in his faith” and urges us to walk in Abraham’s footsteps. To believe like he believed. How do we do this? In hope he believed against hope, that he should become the fa… Read More
  • Is It Better for Moms to Stay at Home? Guest Contributor was a writer and principal executive in an advertising agency when I decided to leave my profession to stay home and raise my kids. I wanted to be the one that nurtured and trained our children, and my … Read More
  • Love the One You’re With It can be really hard to love the church. Every Christian, who’s been one for very long, knows this. The earthly church has always been a motley crew. It’s never been ideal. The New Testament exists because churches, to … Read More
  • How God Opens the Eyes of the Heart How does someone who is blind to the glory of God come to see him for who he really is? To be sure, the natural eyes and ears and brains are part of the process. Without them we cannot even see or hear or const… Read More
  • Instagram 'ni hatari zaidi kwa afya ya kiakili ya vijanainstagram imeorodheshwa kuwa mtandao wa kijamii ambao una madhara zaidi kwa afya ya kiakili ya vijana. Katika utafiti uliofanyiwa nchini Uingereza, vijana 1,479 wa miaka kati ya 14 na 24 waliombwa kueleza utathmini wao kuhu… Read More