Bunge la Seneti la Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo limepiga marufuku wapenzi wa jinsia moja kuwaasili watoto kutoka nchi hiyo.
Serikali
imekuwa mstaari wa mbele ikijaribu kupeleleza hatma ya watoto
waliohamishwa nje ya nchi na inasema ugumu ulioko ndiyo sababu kuu
iliyosababisha ikachukua hatua hii.
Marufuku hii haswa inalenga hatua ya kuwahamisha watoto nje ya DRC kulingana na redio Okapi.wapenzi wa jinsia moja
Tangu mwaka wa wa 2013 DRC imekuwa ikipinga kuhamishwa nje ya nchi kwa watoto walioasiliwa nchini humo.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 9, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 9,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini ...
5 hours ago