Recent Posts

PropellerAds

Monday, June 20, 2016

MAGAZETI YA LEO YA TZ NA NJE,JUNE 21

Related Posts:

  • Obama aongezea vikwazo Korea kaskazinRais wa Marekani Barack Obama ameidhinisha vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia majaribio silaha za nyuklia na makombora hivi majuzi. Msemaji wa ikulu ya White House amesema Marekani na jamii ya… Read More
  • Mwanafunzi aliyemtishia Trump kuondoka MarekaniMwanafunzi wa urubani kutoka Misri aliyeandika kwenye Facebook kwamba ulimwengu unaweza kumshukuru sana akimuua Donald Trump ameamua kuondoka Marekani kwa hiari. Emadeldin Elsayed, 23, hakufunguliwa mashtaka yoyote ya uhalifu… Read More
  • Islamic State wametekeleza ‘mauaji ya halaiki’arekani imesema kundi la wapiganaji wa Kiislamu linalojiita Islamic State (IS) limetekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Wayazidi, Wakristo na waislamu wa madhehebu ya Shia. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry a… Read More
  • Korea Kaskazini yatishia kuishambulia MarekaniKorea Kaskazini imetishia kutekeleza mashambulio ya nyuklia dhidi ya Korea Kusini na Marekani iwapo nchi hizo mbili zitaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi. Mazoezi hayo, ambayo hufanyika kila mwaka, mwaka huu yatashiriki… Read More
  • AU kutuma waangalizi wa uchaguzi ZanzibarTume ya Umoja wa Afrika imetangaza kwamba itawatuma waangalizi wa uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar ambao utafanyika Jumapili. Mwenyekiti wa tume hiyo Dkt Nkosazana Dlamini Zuma ameidhinishwa kutumwa kwa wataalamu sita wa… Read More