Recent Posts

PropellerAds

Thursday, June 9, 2016

Bill Gates kusaidia watu kufuga kuku Afrika


Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.
Umoja wa Mataifa unakisia kuwa asilimia 41 ya watu katika Bara la Afrika, Kusini mwa jangwa la Sahara wanaishi katika ufukara mkubwa
 wana Gates alisema kuwa mkulima anayefuga kuku watano anaweza kupata zaidi ya Dola 1,000 kwa mwaka. Mtu hutajwa kuwa maskini iwapo anapata Dola 700 pekee kwa mwaka.
Alisema kuwa lengo la mradi huo ni kusaidia zaidi ya asilimia 30 ya watu wanaoshi mashambani Kusini mwa Jangwa la Sahara ili wapate huduma ya kufuga kuku wa hali ya juu mbao watachanjwa. Alisema hatua hiyo itaongeza watu wanaofuga kuku kwa asilimia tano.
Ananukuliwa akisema kuwa kuku huongezeka maradufu na kwa hivyo hakuna uekezaji ulio na mapato mazuri kwa asilimia ya juu kuliko ufugaji kuku.
Alisema hayo alipokuwa akianzisha mradi huo jijini New York. Anashirikiana na shirika na kutoa misaada kwa maskini la Heifer International.
Watu milioni 800 huishi katika hali ya umaskini hohehahe, kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa.

Related Posts:

  • 10 Reasons David is Called “A Man After God’s Own Heart” Acts 13:22 says, “After removing Saul, he made David their king. He testified concerning him: ‘I have found David son of Jesse a man after my own heart; he will do everything I want him to do.‘” The following words des… Read More
  • Be careful how you live "Teach us to number our days, that we may apply our hearts to wisdom." ~ Psalm 90:12 Life is filled with opportunities, but the big question is what we do with them. Do we let them slip by, saying, “Maybe next time. There… Read More
  • Five Ways to Make War Against Greed The first three principles everyone can copy. The second two are a little more unique to my situation, but you should still find help. 1. I study to see and savor the supreme value of Jesus every day. I don’t mean fo… Read More
  • Feed my sheep There are many ways to stall out your ministry. You could make a quick list like this one: • Being busy instead of productive• Lack of vision• Low morale• Being scattered more than focused• Trying to please everyone … Read More
  • God Has Incredible Plans for You For I know the plans I have for you, declares the LORD, plans for welfare and not for evil, to give you a future and a hope. Jer 29:11 This quote was part of a letter God had Jeremiah write to the Jews whom Nebuchadnezzar … Read More