
Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi.
Na
baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa
watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi
adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
Watafiti kutoka chuo kikuu
cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini...