Recent Posts

PropellerAds

Friday, May 13, 2016

Kamanda wa Marekani aliyezuiliwa Iran afutwa

Iraneshi la wanamaji la Marekani limesema kuwa limemfuta kamanda wa mabaharia kumi wa Marekani waliokamatwa na kuzuiliwa kwa muda na Iran mwezi Januari.
Mabaharia hao walikuwa wamepotea baharini kabla ya kukamamatwa na kuhojiwa nchini Iran kwa kipindi cha saa kumi na tano.