Recent Posts

PropellerAds

Monday, May 30, 2016

Ang'atwa uume na nyoka Thailand


Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake.
Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.
Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na matibabu.

Wafanyikazi walilazimka kukiharibu choo hicho.Baadaye nyoka huyo aliachiliwa na kuingia msituni.
Kisa hucho kilitokea wakati ambapo Attaporn mwenye umri wa miaka 38 alielekea katika choo chake nyumbani kwake huko Chachoengsao,mashariki mwa Bangkok kabla ya kwenda kazini siku ya Jumatano.
Wakati alipokuwa akitumia choo hicho alihisi uchungu mkali.

 'Nilihisi kama ambaye uume wangu ulikuwa umekatwa,Nyoka huyo alikuwa akinivuta kwa kutumia nguvu nyingi'',alisema.

Related Posts:

  • Why Did Jesus Come? 1. He came to fulfill prophecy.      “I did not come to abolish, but to fulfill” (Matthew 5:17).      “Christ has become a servant . . . to confirm the promises given to the … Read More
  • Saul Was a Man Who Missed His Destiny! God Himself chose Saul to lead Israel out of bondage to the Philistines. When the prophet Samuel first laid eyes on Saul, the Lord said, "...Behold the man whom I spake to thee of! this same shall reign over my people" (1 Sa… Read More
  • Samson Was Another Man Destined to Greatness for God -- But He Missed His Destiny! Samson is yet another tragic figure in the Old Testament. His destiny was known before he was born. According to Scripture, "...he shall begin to deliver Israelout of the hand of the Philistines"(Judges 13:5). Angels announ… Read More
  • Tanzania kutengeza ndege aina ya helikopta Raia nchini Tanzania wameamkia habari za kushangaza kwamba taifa hilo linatengeza ndege .Gazeti la Tanzania la Daily News limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa iki… Read More
  • Solomon Also Was a Man Who Missed His Destiny! If ever there appeared to be a man of destiny, it was Solomon. He was the wisest, richest, most respected man of his time. And his destiny was clearly laid out for him. He would be the king who once and for all rid Israel of… Read More