Recent Posts

PropellerAds

Thursday, May 12, 2016

Rihanna kuwalipia karo wanafunzi


Nyota wa muziki Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake.
Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya shule.
Wakfu huo wa Clara Lionel umekuwa ukifanya kazi tangu 2012 ambapo hutoa ruzuku kwa shule huko Barbados mbali na kuwasaidia wagonjwa wa saratani.

Bibiye Rihana alifariki kutokana na ugonjwa wa saratani mwaka huo huo na hivyobasi kumfanya yeye kuanza kusaidia sekta ya matibabu.
Kwa sasa shirika hilo limepanuka na kutoa ufadhili wa elimu hadi kufikia dola 50,000 kwa wanafunzi waliopo Barbados,Brazil,Cuba,Haiti,Guyana,Jamaica na Marekani.
''Sidhani kwamba ni haki kwa watoto kubeba mzigo wa kifedha katika miaka walio nayo'',alisema Rihanna.

Related Posts:

  • Ibada maalum Korea Kusini yaadhimishwaIbada maalum imeendelea leo huko Korea Kusini kuadhimisha miaka miwili ya kuwapoteza watu mia tatu wa taifa hilo ambapo wengi kati ya hao wana funzi, ambao walikufa kutokana maafa kivukoni. Ndugu waliokuwa wakiomboleza walion… Read More
  • Papa Francis arejea na wahamiaji VaticanKiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewachukua wahamiaji 12 kutoka Syria na kwenda nao Vatican baada yake kutembelea wahamiaji katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki. Wahamiaji hao kutoka familia tatu wote ni W… Read More
  • Wakenya waliofikishwa ICC wafurahia uhuruWakenya sita waliokuwa wamefunguliwa mashtaka na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kuhusiana na ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 wamekusanyika kwa mkutano wa maombi mjini Nakuru kusherehekea kutamatishw… Read More
  • Barabara ya kwanza ya juu kujengwa Dar-es- SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela, eneo la Tazara Jijini Dar es salaam am… Read More
  • Wanajeshi wa Amisom waua watu wanne SomaliaWanajeshi wa kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (Amisom) wamewaua watu wanne viungani mwa mji wa Bulla Marer kusini mwa Somalia, wakazi wa eneo hilo wanasema. Waliouawa ni pamoja na mwanamke mkongwe na mtoto wa umri wa… Read More