Recent Posts

PropellerAds

Wednesday, May 11, 2016

Justin Bieber: Sitapiga picha na mashabiki

Bieber ambaye alikuwa hana viatu aliwavutia mashabiki lakini akakataa kuzungumza nao hadi watakapoweka simu zao chini.
Haijulikani iwapo picha alizochukua na mashabiki wake katika lango la mbuga hiyo zilikuwa za mwisho,lakini baadaye jioni alichapisha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hatapiga picha tena na mashabiki.
Iwapo utakutana nami mahali ujue kwamba sitapiga picha tena'',aliandika.Alielezea vile watu hawaezi hata kumsalimia ama kujua kwamba hata yeye ni binaadamu na hivyobasi kumfanya kujihisi kama mnyama na sasa anataka kuheshimiwa
Aliongezea: Najua kwamba watu hawatafurahia lakini hakuna mtu anayenidai picha.