Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa
yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati
akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake
kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare
kwa heshima yake.
Mugabe mwenye umri wa miaka 92 amekana
uwezekano wowote wa kuondoka madaraklani na
kuwashambulia viongozi hasimu ndani ya chama tawala
cha ZANU-PAFU kwa kupanga kumrithi.
Amesema kuwa yeye anawahudumia watu wa
Zimbabwe na kuwa ataondoka tu ikiwa watu wangetaka
afanye hivyo. Hata hivyo amesema kuwa haondoki na
haendi popote.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
5 weeks ago