Recent Posts

PropellerAds

Friday, May 6, 2016

Shambulio Syria huenda ni ‘uhalifu wa kivita

Watu 30
Afisa wa cheo cha juu wa Umoja wa Mataifa anasema kuwa shambulizi la angani katika kambi moja ya wakimbizi nchini Syria, linalohofiwa kusababisha vifo vya watu 30, huenda likaorodheshwa kuwa uhalifu wa kivita.
Mkuu wa kitengo cha misaada cha Umoja wa Matiafa, Stephen O'Brien ametaka uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi hilo katika eneo lililo karibu na mpaka wa Uturuki.
Wenyeji wa eneo hilo, wameilaumu serikali ya Syria, ambayo ilikuwa ikiwalenga waasi katika eneo hilo.

Related Posts:

  • Trump: Kodi na mishahara kuongezwa Bwenyenye Donald Trump,anayetarajiwa kugombea kiti cha urais kwa urais kwa chama cha Republican ameonesha yuko tayari kubadilisha msimamo wake, kuhusu maswala makuu mawili ya uchumi - kodi na kiwango cha chini cha mshah… Read More
  • Korea kutumia mabomu ya nyuklia kujilindaKorea Kaskazini imesema kuwa itatumia silaha zake za nyukilia kujilinda rais Kim Jong-unamesema. Kiongozi wa wa taifa hilo lenye usiri mkubwa Kim Jong- un aliwaelezea wajumbe wa kamati kuu ya chama tawala Workers' Party mjini… Read More
  • Magufuli aahidi sukari ya bei ya chini Serikali ya Tanzania imeagiza sukari ilikukabiliana na upungufu wa sukari uliopo nchini. Rais wa Tanzania Joseph Pombe Magufuli amesema badala ya kuwapa wafanyabiashara leseni ya kuagiza sukari kutoka ng'ambo serikali yen… Read More
  • Ashukiwa kuwa gaidi kwa kufanya hisabatiProfesa wa uchumi kutoka Italia, ameelezea hasira za kucheleweshwa katika angatua ya Philadelphia Marekani kwa sababu eti mmoja wa abiria aliyekuwa ameketi karibu yake alimshuku kuwa gaidi kwa sababu alikuwa akifanya hisabati… Read More
  • Mwana harakati apigwa risasi pakstaniMwandishi wa habari ambaye pia ni mkereketwa wa haki za kibinadamu, Khurram Zaki, amepigwa risasi na kuuawa jijini Karachi, Pakistan. Ripoti zinasema kuwa alikuwa akila chakula katika mgahawa mmoja wakati alipopigwa risasi na… Read More