Watu 21 wamethibitishwa kufariki baada ya jengo la makazi kuporomoka
katika mtaa wa Huruma, Nairobi. Juhudi za uokoaji bado zinaendelea siku
tano baada ya mkasa kutokea.
Waziri Jafo akutana na Wakazi wa Engaruka
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amekutana na wananchi wa
Engaruka katika zoezi la uhamasishaji kuelekea ulipaji wa fidia kwa wakazi
wa...
21 hours ago