Recent Posts

PropellerAds

Friday, May 13, 2016

Syria yazuia msafara wa msaada

UrusiVikosi vya serikali nchini Syria vimezuia msafara wa magari ya kutoa msaada wa kimataifa kuelekea katika kitongoji cha Daraya kilichozingirwa katika mji wa Damascus.
Msaada huo ungekuwa wa kwanza kutolewa kwa Daraya katika kipindi cha miaka mitatu unusu.
Umoja wa Mataifa umesema jeshi lilizuia msafara huo wa magari kwa sababu yalikuwa yamebeba maziwa ya watoto.