Recent Posts

PropellerAds

Tuesday, May 17, 2016

Libya kupewa silaha kupambana na IS


Nchi 25 ikiwemo Marekani zimekubaliana kuipa silaha serikali ya Libya kwa lengo la kuiwezesha kukabiliana na wanamgambo wa IS wanaoendelea kuisumbua nchi hiyo.
Muungano wa kimataifa umesema kuwa utalegeza vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa juu ya Libya kutoa silaha kwa vikosi vinavyounga mkono serikali mpya ya Tripoli.
Waziri mkuu wa Libya Fayez al-Sarraj, amesema kuwa IS wamekuwa kikwazo kikubwa sana kwa nchi yake na msaada huo wa kimataifa utakuwa muhimu katika kupambana na ugaidi kwa mafanikio.
Nchi hizo tano ambazo ni wanachama wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa walifikia makubaliano hayo baada ya mazungumzo mjini Vienna.Libya imekumbwa na machafuko tokea kuangushwa kwa kanali Gaddafi mwaka 2011

Related Posts:

  • Wisdom for success I command every evil attached to any area of my life blocking my joy and testimonies come out NOW IN JESUS MIGHTY NAME. Be a prophet to 2 persons – — I decree and declare every invisible hand, chain and rope holding me fr… Read More
  • Know the truth and Be free It is recommended that the subject treated and this material should be used in conjunction with and would be incomplete without reference to the 6th Chapter of the book titled: Holy Spirit, the Spirit of Divine Favour, R… Read More
  • Planning for SuccessTHE BEGINNING OF YEAR, THERE WERE INSTRUCTIONS  Continue praying for your own prayer/gift partners till end of January 2017 Visit them in the period or agree to fellowship with them That team to bring a soul / new memb… Read More
  • Quotes of Wisdom Quotes of Wisdom to Share with Your Family, Friends & Colleagues Success in life depends upon qualities of character, courage, and streng… Read More
  • Healing HEALING/ HEAL / HEALTH Num 12:13 And Moses cried unto the LORD, saying, Heal her now, O God, I beseech thee. Deu 32:39 See now that I, [even] I, [am] he, and [there is] no god with me: I kill, and I make al… Read More