Ripoti ya siri ya wataalamu wa Umoja wa mataifa ilioonekana a
shirika la habari la Reuters inaarifu kuwa maafisa kadhaa katika Jamhuri
ya Kidemokrasi ya Congo wamesema kuwa Korea kasakzini imewapatia
wanajeshi na polisi bastola.
Wamesema pia Korea kaskazini wamewatuma wakufunzi 30 kutoa mafunzo kwa kikosi cha ulinzi wa rais na vikosi maalum.
Marufuku iliyoidhinishwa dhidi ya Korea kaskazini kuuza silaha inaizuia kununua, kuuza na pia kutoa mafunzo.
Na
marufuku dhidi ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo inaihitjai nchi hiyo
kuiarifu kamati ya vikwazo katika baraza la usalama la Umoja wa mataifa
biashara yoyote ya kununua au kupokea mafunzo.
Wataalamu hao
wanasema wamegundua kumaafisa kadhaa wa jeshi Congo pamoja na maafisa wa
polisi waiotumwa ng'ambo kama ujumbe wa Umoja wa mataifa, wanaonekana
kuwa na bastola hizo za Korea kaskazini.
Simba SC kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation wamerejesha kwa Jamii
kabla ya mchezo wao na Bravos
-
Kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika
wa Simba SC dhidi ya Bravos ya Angola utakaochezwa Novemba 27, Simba SC kwa
k...
10 hours ago