Recent Posts

PropellerAds

Monday, May 30, 2016

Uganda kukata uhusiano na Korea Kaskazini


Rais wa Korea Kusini amesema nchi ya Uganda imeahidi kusitisha uhusiano wake wa kijeshi na marafiki wake wa jadi Korea Kaskazini baada ya kuzuru mji mkuu wa Kampala siku ya Jumapili, chombo cha habari cha AFP kimeripoti.
Korea Kaskazini imetuma wakufunzi wake wa kijeshi nchini Uganda kwa miaka tisa.

Nchi hizo mbili zimekuwa na uhusiano wa kidiplomasia tangu mwaka 1963 na rais Yoweri Museveni ametembelea nchi hiyo mara tatu, AFP imeongeza.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha vikwazo vikali kuwahi kutekelezwa kwa Korea kaskazini baada ya majaribio ya nuklia ya nne mwezi Januari.

Related Posts:

  • Mungu Hachakuacha Peke Yako Nasi  twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapa mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. 29 Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu sili wapatanish… Read More
  • Do Men Owe Women a Special Kind of Care? Egalitarianism tends to obscure the deeper differences between manhood and womanhood. This has not served us well in the last fifty years. It has instead confused millions and muted a crucial summons for a distinctly mas… Read More
  • Don’t Be That Guy We can invest the rest of our lives plunging deeper into the writings of the apostle Paul to get a better view of the glories of Christ to delight our souls. In Paul’s letters (as elsewhere in the Bible) we are told gl… Read More
  • Three Ways to Love Your Imperfect Husband Sometimes it seems we could fulfill our biblical role as wives a lot easier if our husbands would simply do what they are called to do. If they would cultivate a stronger prayer life, we would feel better about follow… Read More
  • What If Tomorrow Is Even Harder Than Today? I remember the Sunday evening I got a phone call asking if I could come to the hospital. I found my friends snoring in the ICU waiting room. Their teenage daughter had been in an accident, and they had been there for tw… Read More