Recent Posts

PropellerAds

Friday, May 6, 2016

Shambulio Syria huenda ni ‘uhalifu wa kivita

Watu 30
Afisa wa cheo cha juu wa Umoja wa Mataifa anasema kuwa shambulizi la angani katika kambi moja ya wakimbizi nchini Syria, linalohofiwa kusababisha vifo vya watu 30, huenda likaorodheshwa kuwa uhalifu wa kivita.
Mkuu wa kitengo cha misaada cha Umoja wa Matiafa, Stephen O'Brien ametaka uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi hilo katika eneo lililo karibu na mpaka wa Uturuki.
Wenyeji wa eneo hilo, wameilaumu serikali ya Syria, ambayo ilikuwa ikiwalenga waasi katika eneo hilo.

Related Posts:

  • Serikali ya Kenya yasema shisha ina Cocaine Wizara ya afya ya Kenya imekuwa ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha ,katika siku hii ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani. Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za… Read More
  • Atletico Madrid yatinga fainali ligi ya mabingwa Klabu ya soka ya Atletico Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupata bao la ugenini walipokipiga dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani… Read More
  • Bajeti ya Serikali 2016/ 2017 yawa kivutio cha watanzania. Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya mwaka 2016/17 inayoonyesha kutakuwa na makusanyo na matumizi ya Sh29.5… Read More
  • Waliokuwa maafisa wa Fifa walijipatia $80m Mawakili wa FIFA wasema washukiwa wakuu wa madai ya ufisadi ambao hadi hivi majuzi walikuwa wakiliongoza shirikisho hilo la kandanda duniani walijilimbikizia nyongeza za mishahara na marupurupu mengineyo ambayo yamejumui… Read More
  • Bondia Muhammad Ali alazwa hospitalini Bingwa wa dunia wa uzani wa juu wa zamani Muhammad Ali amelazwa hospitalini kufuatia maambikizi ya mapafu. Bondia huyo nyota mwenye umri wa miaka 74 aliyekonga nyoyo za wapenzi wa ndondi kote duniani anasemekana kuwa kati… Read More