Recent Posts

PropellerAds

Tuesday, May 17, 2016

Matapeli wa You Tube wafungwa jela


Wanachama wanne wa kundi lenye utata la Trollstation katika mtandao wa Youtube wamefungwa jela kutokana na wizi wa mabavu na utekaji nyara bandia.
Kundi hilo lilihusishwa katika wizi wa mabavu wa bandia katika eneo la kumbukumbu za uchoraji mjini London pamoja na utekaji nyara bandia katika eneo la Tate nchini Uingereza mnamo mwezi Julai 2015.
Idhaa hiyo ilio na wateja 718,000 imejijengea sifa kwa kutengeza video bandia mjini humo.
Mwanachama wa tano alifungwa mnamo mwezi Machi kufuatia utapeli wa tukio la bomu.
''Utapeli huo huenda waliouona kama wa kawaida,bila kujua kwamba ulikuwa unawapa dhiki raia wa kawaida ambao wanafaa kuendelea na bishara zao bila kuogofywa''.
''Tunatumai kwamba kifungo hicho kitakuwa mfano kwa wale wanaotekeleza vitendo vya utapeli kama hivi ambavyo haviwezi kukubalika kuendelea mjini London'',alisema Robert Short,afisa wa mashtaka katika huduma ya Crown Prosecution Service.

Related Posts:

  • 4 Causes of Discouragement, and 4 Cures Discouragement is unique to human beings, and it’s universal. Eventually everyone feels it, including those in ministry. I have no doubt you’ve experienced discouragement at times. You might even be discouraged as you rea… Read More
  • A Call to Arms As another Mother’s Day rolls around, we find ourselves floating in a sea of sentimental, loving, and sweet words on the things that mothers do for us. It is good to recognize, appreciate, and honor all of that, but it is … Read More
  • A Bruised Reed He Will Not Break It was one of the goriest things I’ve seen on television. There was blood everywhere and visible agony. It wasn’t Game of Thrones, but a BBC natural history program, and the protagonist was a crocodile. Its victim was… Read More
  • The Renewed Mind and How to Have It I appeal to you therefore, brothers, by the mercies of God, to present your bodies as a living sacrifice, holy and acceptable to God, which is your spiritual worship. Do not be conformed to this world, but be transformed by… Read More
  • The Happiest Woman I Have Ever Known There is a beauty in simplicity. And there is a greater beauty in harmonious complexity. Referring to Jesus, Jonathan Edwards said that there is in him “an admirable conjunction of diverse excellencies.” That’s a quaint way … Read More