Maafisa usalama nchini Nigeria
wamesema wanamgambo wameshambulia mkondo wa mafuta katika jimbo la
Delta.wanaripotiwa kuharibu vibaya mitambo na vifaa vinavyoruhusu
kusafiri kwa mafuta kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
kundi la
watu wanaoitwa Niger Delta Avengers lilimethibitisha kuhusika katika
shambulizi hilo.Kumekuwa na ongezeko la uharamia baharini na katika eneo
la jimbo la Niger Delta katika miezi ya karibuni.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
1 week ago