Majimbo kumi na moja ya Marekani
yanaushtaki utawala wa Rais Barack Obama, dhidi ya agizo lake kwamba
shule za umma lazima wanafunzi waliobadili jinsia kuchagua vyoo vya
kutumia.
Utawala huo umetishia kutotoa fedha za shirikisho kwa
shule ambazo hazitazingatia agizo hilo, lakini madai hayo
yaliyofunguliwa mjini Texas serikali imesema kwamba inajaribu
kuzirejesha Shule katika maabara kwa ajili ya majaribio makubwa ya
kijamii.Utata umelenga katika jimbo la North Carolina,ambalo siku za hivi karibuni lilipitisha sheria likiwaruhusu watu waliobadili jinsi zao kutumia maliwato za umma kulingana na jinsi zinavyoonesha katika vyeti vyao vya kuzaliwa.