wafungwa wapatao 149 wamkufa katika hali mbaya katika kizuizi cha jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria mwaka huu.
Katika ripoti, Amnesty linasema 11 kati ya waliokufa katika kizuizi cha Giwa walikuwa ni watoto wakiwemo watoto wachanga 4.
Limekitaja kizuizi hicho kama "sehemu ya kifo" na limesema kinapaswa kufungwa.
Jeshi
halijatoa tamko lolote kuhusu ripoti hiyo ya hivi karibuni lakini
katika siku za nyuma limesema limeidhinisha kitengo cha haki za
binaadamu kuchunguza madai ya ukiukaji wa haki za binaadamu.
Kizuizi
kilichopo katika kambi ya jeshi ya Giwa kipo Maiduguri, mji mkubwa
kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambako jeshilinakabiliana na wanamgambo
wa kiislamu Boko Haram.
Anayedaiwa kumchoma moto mwanamke katika njia ya treni kufikishwa mahakamani
-
Mwanamume anayedaiwa kumchoma moto mwanamke aliyekuwa amelala hadi kufa
ndani ya treni ya chini ya ardhi ya Jiji la New York anatarajiwa kufikishwa
mahak...
15 hours ago