Recent Posts

PropellerAds

Friday, May 6, 2016

Bomoabomoa yaanza Nairobi baada ya mkasa

Nyumba
Serikali ya jimbo la Nairobi imeanza kubomoa nyumba ambazo maafisa wanasema hazifai kuishi watu.
Shughuli hiyo inatekelezwa baada ya jumba moja la makazi la ghorofa sita kuporomoka Ijumaa wiki iliyopita na kuua watu 36.
jengo
Watu karibu 70 bado hawajulikani walipo.
Shughuli ya leo imelenga nyumba nane ambazo zimekuwa zikiishi watu karibu 600.
jengo

Pesa
 

Related Posts:

  • Dilma Rousseff ashtumu ''mapinduzi yake'' Rais wa Brazil Dilma Rousseff ameshtumu hatua ya kumshtaki kuwa ''mapinduzi na mchezo'' akikana kutekeleza uhalifu wowote. Alikuwa akilihutubia taifa katika runinga,ikiwa ni matamshi yake ya kwanza tangu maseneta kupiga k… Read More
  • Mwanamke afutwa kazi kwa kutovaa viatu vya juu Karani mmoja wa kupokea wageni mjini London alilazimika kurudi nyumbani baada ya kukataa kuvaa viatu vyenye visigino virefu,imebainika. Mfanyikazi huyo wa kampuni ya Temp, Nicola Thorp mwenye umri wa miaka 27 kutoka Hack… Read More
  • Walimu walipwa vifaranga badala ya mshahara Uzbekistan Mji mmoja nchini Uzbekistan umekua ukiwapa waalimu wake kuku kama mshahara badala ya pesa. Mamlaka za mji wa Nukus katika jimbo linalojitawala la Karakalpakstan wamekua wakitia vifaranga wachanga kwa walimu kutokana na u… Read More
  • UN: Rwanda bado inasaidia waasi Burundi Ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inaituhumu Rwanda kwa kuendelea kuwasaidia waasi wanaotaka kumtoa madarakani Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza. Kwa mujibu wa shirika la habari la … Read More
  • Rihanna kuwalipia karo wanafunzi Nyota wa muziki Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake. Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya shule. Wakfu huo wa Clara Lionel umekuwa uki… Read More