Recent Posts

PropellerAds

Sunday, May 29, 2016

Zika: WHO laondoa wasiwasi katika Olimpiki


Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa limeingilia kati katika kukabiliana na virusi vya Zika huku kukiwa na wito kwa mashindano ya michezo ya Olimpiki kuahirishwa kufuatia mlipuko wa virusi hivyo.
Afisa wa WHO Bruce Aylward ameiambia BBC kwamba hatua za kukabiliana na ugonjwa huo zimekamilishwa

Alikiri kwamba shirika la afya duniani WHO linaweza kufanya kazi nzuri zaidi kupitia kutoa tangazo kuhusu kile kinachoendelea na kwamba hakuna haja ya kuahirisha michezo hiyo.
Katika barua ya wazi wanasayansi 152 walisema kuwa utafiti waliofanya kuhusu Zika umeonyesha kuwa ni hatari kwa michezo hiyo kuendelea.

Pia wamesema kuwa shirika hilo la afya duniani linafaa kufuata maelezo yake kuhusu Zika.
Ugonjwa huo unahusishwa na watoto walio na vichwa vidogo na ubongo uliodumaa.




Kati ya Februari na Aprili,Brazil ilisajili zaidi ya visa 90,000 vya Zika.
Visa vya watoto waliohusishwa na virusi hivyo ni 4,908 kufikia mwezi Aprili.


Related Posts:

  • MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWAJambo la kwanzaKuoa au kuolewa kunabadilisha uhusianowako na wazazi wako. Mwanzo.2:24 anasema, “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja”. Ukiangalia (Zaburi.4… Read More
  • Sheria za Ubongo: Kanuni kumi na mbili za kukuongoza katika sehemu yako ya kazi au Shuleni Na: Amani manamba 1.  Kuna uhusiano mkubwa kati ya mazoezi na utayari wa akili kufanya kazi. Mwandishi anatushirikisha kuwa mwili wa mwanadamu umeumbwa kiasi kwamba unaweza kutembea maili 12 kwa siku. Katika mzunguko hu… Read More
  • Statement of FaithSection 1: The Bible We believe the Bible, comprised of the Old and New Testaments, to be the inspired, infallible, and authoritative Word of God (Matthew 5:18; 2 Timothy 3:16-17). In faith we hold the Bible to be inerrant i… Read More
  • Window cannot formatt diskThe Symptom When trying to format a USB drive or memory SD card for not being able to access it or something, the format process might fail with an error message saying that Windows was unable to complete the format. This err… Read More
  • Kill Pride Before It Kills You   At some point today, someone will probably compliment or praise something you do or say. If not today, it will happen tomorrow, or sometime next week. How will you respond? How do you typically respond? How we r… Read More