Mkuu wa chama waziri mkuu Ahmet Davutoglu hatarajiwi kugombea tena.
Taarifa kuhusu kufanyika kwa mkutano usio wa kawaida ziliibuka baada ya Bw Davutoglu kuelezea kutoridhishwa na sera fulani za rais Recep Tayyip Erdogan, ikiwemo mipamgo yake ya kuifanyia katiba mabadiliko