Gavana wa jimbo la Alberta nchini Canada ametangaza hali ya hatari
wakati moto mkubwa wa msituni unapoteketeza maeneo ya mji wa Fort
McMurray.Maafisa wanasema kuwa nyumba 1600 na majengo mengine yameharibiwa na moto huo ambao sasa unakaribia uwanja wa ndege wa mji huo.
Waziri mkuu nchini Canada amesema kuwa moto huo umesababisha hasara ya kiwango kikubwa.
Watu wa mji wa Fort McMurray ambao ni 80,000 wamehamiswa.
Wakimbizi wa TikTok waikimbilia App ya RedNote
-
Huku kukiwa na hofu inayoongezeka juu ya uwezekano wa kupigwa marufuku kwa
TikTok nchini Marekani, watumiaji wa Marekani wanakimbilia “RedNote”,
programu...
3 hours ago