Kwa nini raia wa Afrika Kusini huchoma shule?
Awali iliropotiwa kuwa Shule nane kaskazini mwa Afrika Kusini zilichomwa na waandamanaji.
Maandamano
nchini Afrika Kusini yana historia ya kubadilika na kuwa
ghasia,ikianzia miaka ya nyuma ya utawala wa wakoloni ambapo wak…Read More
Ted Cruz ajitoa kwenye kinyang'anyiro Marekani
Seneta wa jimbo la Texas Ted Cruz
amejiondoa katika kinyang'anyiro cha uteuzi kugombea nafasi ya urais wa
Marekani kupitia chama cha Republican.
Alitoa tangazo lake punde tu baada ya kupoteza kura katika kampeni za mwisho…Read More
Justin Bieber ashtakiwa kwa kuvunja simu
Mwanamuziki Justin Bieber ameshtakiwa kwa dola milioni 100,000 kwa madai kwamba alivunja simu.
Nyota
huyo ametuhumiwa kuivunja simu ya Robert Earl Morgan baada ya kujaribu
kumrekodi Bieber wakati alipokuwa akinywa pombeKI…Read More
IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika MasharikiTanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati.
Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa - IMF.
Katika ripoti yake iliyot…Read More
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Do Everything Without Grumbling
-
[image: Image result for Do Everything Without Grumbling]“Do all things
without grumbling” (Philippians 2:14). It’s remarkably easy to breeze by
this comm...