Recent Posts

PropellerAds

Thursday, May 5, 2016

Muziki wa Snura wapigwa marufuku


Serikali ya Tanzania imepiga marufuku wimbo na kanda ya video ya muziki kwa jina chura wa msanii Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo.
Vilevile Serikali imesitisha maonyesho yote ya hadhara ya mwanamuziki huyo hadi pale atakaposajili kazi zake katika baraza la taifa la sanaa BASATA.
Hatua hiyo inafuatia maudhui ya utengenezwaji wa video hiyo ambayo serikali inasema inakiuka maadili ya raia wa Tanzania.
Serikali imesema kuwa kazi ya mwanamuziki huyo inadhalilisha tasnia ya muziki nchini Tanzania.

Related Posts:

  • Mjusi anayebambua magamba yake kuepuka aduiJamii nyingi za mijusi hukata mkia, wanaposhambuliwa, lakini mjusi huyu aliye na magamba kama samaki, ana magamba mengi mno yanayobambuka kwa urahisi. Mjusi huyu aliyetambuliwa, ni bingwa wa usanii, wanasema wanasayansi, w… Read More
  • You Always Hurt the One You LoveIn the midst of a busy speaking schedule in Brisbane my wife and I managed to have some time out for brunch. As we enjoyed our meal near the beach, over the sound system they played an old John Lennon song: his 1971 “Jealo… Read More
  • The Battle for Life, and for ChildrenWe are living in what seems like unprecedented times, with little or no respect for human life, human dignity, and the well-being of our children. Everywhere adult desires and wants are trumping the rights of the child, th… Read More
  • Yes It Hurts – But God…We have all been there. We have been mistreated and abused and maligned and attacked and kicked off a cliff. It hurts, and it is no fun. And if you are a believer, you perhaps expect it from non-believers who may not alway… Read More
  • Zuma atuma vikosi vya jeshi kulinda BungeRais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameamrisha vikosi vya kijeshi vipatavyo 440, kutoa usalama katika majengo ya Bunge, wakati atakapokuwa akilihutubia taifa leo Alhamisi. Vyama vya upinzani vimelaani hatua hiyo na kusema hi… Read More