Recent Posts

PropellerAds

Monday, May 2, 2016

Waliofariki mkasa wa jengo Nairobi wafika 21

Huruma
Idadi ya watu waliofariki baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka Nairobi imefika 21 baada ya miili mingine mitano kufukuliwa kutoka kwenye vifusi.
Waokoaji wamewanusuru watu 135 huku wengine zaidi ya 90 wakiwa bado hawajulikani walipo.
Inahofiwa wamefukiwa kwenye vifusi vya jengo hilo lililoporomoka katika mtaa wa Huruma kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.
Msemaji wa polisi Charles Owino ameambia BBC kwamba mwenye jengo hilo kwa sasa yumo korokoroni na anahojiwa kuhusu mkasa huo. Maafisa wa serikali ya jimbo la Nairobi walikuwa wamepiga marufuku jengo hilo mapema na kusema halifai kuwa makazi ya binadamu.Manusura
Ingawa juhudi za uokoaji zinaendelea, watoaji wa misaada wanahofu kwamba huenda manusura walionaswa kwenye vifusi vya jengo hilo wasipatikane wakiwa hai kutokana na hali mbaya ya hewa.
Watabiri wa hali ya hewa wameonya kwamba mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Kenya hasa mjini Nairobi itaendelea kwa siku chache zijazo.

Related Posts:

  • If You Love God, Listen to Him Christians must be Bible people. Over the years, I have spent many hours pleading with people to see that sentence as true. Sadly, it strikes many as novel, edgy — or worse, irrelevant. Maybe it’s because those three wor… Read More
  • The Only Failure Is to Quit Many of the parents I meet are not experiencing joy and delight in their family devotions. Moms and dads reluctantly admit they haven’t been consistent, are currently not doing family devotions, or are not sure if what the… Read More
  • Rejoice in the Wife of Your Youth Dear Husband, I thank God for this moment with you. I only wish I could be present with you and look into your eyes and speak as earnestly as I can. So much is at stake in your marital integrity. But you haven’t yet take… Read More
  • God Wants to Win You from Within God appeals to our desire. It’s one of the great awe-inspiring truths of the universe, from the warmth of the sun’s rays to cool, refreshing streams. From the everyday pleasures of sleep, food, drink, and family, to t… Read More
  • The Time for Peace Is Now Reconciliation takes us right to the heart of the gospel. It moves us like few other themes in the Bible. Reconciliation crosses distances, overcomes hostility, opens access, melts indifference, and cultivates peace. What… Read More